MAMA MARIAM MWINYI AMEFUNGUA USAJILI CRDB BANK MARATHON 2023.

Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) ametoa wito kwa Watanzania kujisajili kwa wingi katika msimu wa 4 wa mbio za CRDB Bank Marathon Mwaka 2023 ili kufanikisha malengo ya kusaidia sekta ya afya nchini. Mgeni Rasmi katika mbio atakuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza